Barua ya wazi kwa VIJANA wote wa Kitanzania:
Wanaotaka Kuchuma Pesa Mtandaoni - Hivi Ndivyo Utakavyoingiza 1,049,000/= kwa Mwezi kwa Kuuza Bidhaa Zako za Taarifa (Ebooks, Kozi, PDF Ripoti, n.k) kwa Njia ambayo hata Wavivu Wamefanikiwa Kutajirika.
IBA SIRI Hizi 17 za Copywriting, Content Creation, na Ushawishi Ambazo Wanaijeria na Wakenya Wanazitumia Kisirisiri Kutajirika na Hawataki Uzijue.
Labda nikuulize,
Umewahi kusikia sentensi hii:
"Kutengeneza Pesa Kutoka Hewani" yaani "Making Money from Thin Air".
Ni kitu kigeni sio!
Naam sio bure,
Na hicho ndicho tunachoenda kujifunza ndani ya dakika 3 tu zijazo.
Hakikisha unasoma mpaka mwisho na kuchukua hatua kwa sababu siri utakazoenda kujifunza hapa watu wajinga na unaowazidi uwezo wanazitumia kuingiza mamilioni kila mwezi...
Kazi kwako!
Rafiki Mpendwa…
Dunia Imebadilika…
Uwezo wa kuingiza kipato hautegemei tena umesoma nini na una degree gani…
Maisha ya kazi yanabadilika kwa kasi.
Zamani ilikuwa ili kutoboa lazima uende shule bora, ufike chuo kikuu na upate kazi nzuri.
Hii sasa inabaki historia.
Tumetoka kwenye kutegemea kazi kupata maisha (job economy),
Na sasa tupo kwenye ujuzi wa thamani (skills economy)
Maana yake ni kwamba
Kama una:
Maarifa, ujuzi, kipaji, passion… Umekalia pesa zako!
NA…
Kitu kizuri ni kuwa kwa Kutumia SIRI hizi kutengeneza Pesa kwa kuuza bidhaa ZAKO za Taarifa,
HUHITAJI:
-- Degree au Vyeti au GPA kali
-- Kujua Kiingereza
-- Mtaji wowote
-- Kuwa na followers wengi
-- Kuwa na uzoefu wowote
-- Mtaalamu wa jambo fulani
Na utaweza kutumia SIRI hizi kutengeneza Pesa kwa kuuza bidhaa ZAKO za Taarifa kama Wewe Ni…
Mhitimu
Influencer
Freelancer
Mwajiriwa
Content creator
Mjasiriamali "Mdogo Au Mkubwa"
Mfanyabiashara "Mdogo Au Mkubwa"
Na yoyote anayetafuta ajira.
Pengine sasa hivi unajiuliza hili litawezekanaje?
Hapa Nataka Ufahamu haya mambo 5.
-- Internet inampa kila mtu uwezo wa kufanya kile anataka.
-- Huhitaji vyeti wala degee kuweza kuingiza kipato mtandaoni.
-- Bidhaa za taarifa unatengeneza mara 1 na kuuza kila siku.
-- Mtandaoni wanaofanikiwa sio wenye akili nyingi; bali ni wajanja wanaochukua hatua.
-- Hebu piga picha Kutengeneza Ebook au PDF 1 na kuiuza milele.
Na kwa taarifa yako tu,
"Intaneti ndio njia iliyotengeneza mamilionea wengi zaidi ndani ya miaka 10 iliyopita tangu dunia imeumbwa...Nairaland, 2024"
Hushituki kama umepoteza muda mwingi kufanya mambo magumu yasio tija.
Nikuulize!
Unadhani Kina Joel Nanauka, Amos Nyanda, Baraka Mafole, Snash-
TZ na Kelvin Kibenje wana nini cha special kukuzidi wewe?
HAMNA...
Kiukweli hamna, sio kwa sababu ya vyeti vikali wala wametoka familia bora, lakini ni miongoni mwa Watanzania wachache ambao walishutukia utajiri uliomo Mtandaoni na kujiongeza.
Hii ndio tofauti pekee.
Na hii itoshe kukwambia kuwa, unaweza kuwa mmoja wao.
Lakini sio kwa kutamani, la hasha.
Kuamua - Kujifunza - Na kutekeleza 100%.
Na intaneti ndio chimbo pekee llinalotoa fursa sawa kwa wote bila kujali kabila, umri wala elimu.
Maana yake kama unaamua kushindwa ni wewe mwenyewe umetaka.
Intaneti huwatunuku wale wanaoitafuta tunu bila upendeleo.
Na ni wale:
Walio Tayari kujifunza:
Jinsi ya kukamata na kushikilia attention
Kuandaa bidhaa zao za taarifa
Kuandika na kushawishi
kukuza community zao
Kuandika matangazo
Kukuza brand zao
Kuandaa Ofa na
Kujua kuuza
Hawa wanaenda kuwa watu hatari kwa kugeuza maneno kuwa bidhaa za taarifa ambazo watu watakuwa wanazililia kuzinunua.
Naam, hujanisikia vibaya.
Kwa ujuzi niliotaja hapo juu utaweza kubadili taarifa na maarifa kuwa pesa.
Na hii ndio maana halisi ya ‘making money from thin air’.
Yaani… ‘Kutengeneza pesa kutoka hewani’.
Unaweza kudhani ni kama mzaha vile lakini tayari mamilioni ya wa watu duniani wanatumia fursa hii.
Kibongo bongo ndio kwanza sisi tupo kizazi cha kwanza kwa aina hii ya biashara.
Kwahiyo fursa bado mbichi sana na watakaochangamka mapema ndio watakaokuwa na uwezo wa kufanikiwa kwa haraka.
Mfano halisi, ni kitabu changu cha 'Tiba Pekee ya Kudumu ya Nguvu za Kiume' Kimeingiza mpunga mrefu na bado kinaendelea kuleta pesa usiku na mchana.
Na haya Ni mauzo yangu ya siku 2 tu...

Ukumbuke Niliandika Mara 1 Lakini Nitakiuza MILELE.
Na hiki ni kimoja tu kati ya vingi, bado kuna kozi, coaching programs n.k.
Sasa wenzako tayari wamechukua hatua kuanza kujibadili kuwa mashine za ku-print pesa.
Na fursa hii ipo wazi kwa kila mtu.
Tofauti ni moja tu.
Wakati wewe unatafakari hapa,
Wenzako tayari kitambo wanakula matunda.
Sasa hii inamhusu nani hasa?
Hii ni maalum kwa yeyote mwenye sifa zifuatazo:
Unatamani kujenga brand yako mtandaoni lakini hujui pa kuanzia na kufikia kuwa na mamlaka kwenye niche yako.
Hujui jinsi ya kukuza followers na kujenga community yako ambayo ni kiini cha mafanikio yako mtandaoni.
Hujui namna bora ya ku-package taarifa ulizonazo kichwani na kutengeneza bidhaa zitakazojiuza daima ukiwa umelala.
Una biashara lakini hujui namna bora ya kuji-position na kuuza vya kutosha.
Upo kwenye niche lakini umeshindwa kuji-potion kama mtaalam mwenye upekee sokoni na kutengeneza soko lako binafsi.
Pengine umeanza lakini hupati picha sahihi ya njia ya kupita. Unahitaji jicho la tatu kukuvusha ili kufanikiwa kwa uharaka.
Umeanza lakini bado unasumbuka kupata niche sahihi, kupata wafuasi wa kufa na kupona, na kuandika maudhui yako orijino.
Hauna mifumo maalum ya kuzalisha maudhui na kujikuta unakosa cha kupost mara kwa mara. Mifumo ndio njia ya kupunguza kazi za kuandika kila siku.
Umeshajifunza kwa content za bure na huoni kama unafanikiwa. Umesoma hapa na pale lakini biashara bado haitoboi.
Unajua njia nyingi za kuingiza pesa mtandaoni kama vile freelancing, content creation, digital marketing lakini umeshindwa kupata mwanga kipi ufanye.
Mwisho, huna muda wa kujipigania kujenga brand yako kuwa na mamlaka na kukua kwa kuandika maudhui, kutengeneza marafiki na wateja, kutengeneza maudhui zaidi lakini bado unapata muda wa kufanya mambo mengine.
Je kuna moja ya hizo hoja hapo juu imekugusa?
(Hicho ndicho tunakusudia kukusaidia).
Kama itakufaa basi tutakusaidia kutatua chngamoto hizo zote ndani ya miezi 2 tu.
Sio kwamba wewe ni special.
Ni kwa sababu kila mtu ana maarifa au ujuzi anaoweza kuuza kwa wengine.
Kila mtu anaweza kutumia nguvu ya internet kuuza chochote.
Na sasa ndio muda sahihi zaidi kuweza kuanza.
Kuliko hata unavyoweza kudhani.
Naval aliwahi kusema:
“Duniani kuna watu takribani bilioni 7. Iko siku, natumaini, kutakuwa na makampuni bilioni 7.
Maana yake nini?
Internet inampa kila mtu nafasi ya kuwa yeye kama yeye na
Kutumia maarifa na talanta zake kufundisha anachopenda na
Kukibadili kuwa bidhaa na kuingiza kipato huku akibadili maisha ya watu wengine.
Hii kauli imekuwa ikinifikirisha sana.
Kila mtu anaweza kuwa na biashara yake!
Kupitia internet huhitaji kujenga, au kukodi sehemu ya kuweka biashara yako.
Unachohitaji pekee ni ujuzi, maarifa, taarifa na kuzifanya za thamani na kuuza mtandaoni.
Watu watakuja kwako bila kujali una vyeti au hauna...
Hii ndio maana sahihi ya kila mtu anaweza kuwa na biashara yake.
Kila mwenye uwezo wa kuja na suluhu kwa ajili ya wengine atalipwa ujira wake kulingana na stahili yake.
Sikia hii...
Tumekuandalia mifumo itakayokusaidia kujua utajiri wako kichwani (uzoefu, ujuzi, maarifa n.k) na kuubadili kuwa bidhaa adimu za taarifa na kuziuza milele ukiwa umelala.
Mwingine atauliza!
Millambo, hii inawezekanaje?
Hivi ndivyo nilivyoiunda hii program kukusaida kuweza kujifunza:
Mbinu za kukuza hadhira
Mbinu za kujenga mamlaka
Namna ya kuuza bila kuuza
Mbinu za kujua niche yako vyema
Mbinu za kuunda bidhaa za taarifa
Namna ya kuunda offer isiyozuilika
Mbinu za kukusaidia kuaminika zaidi
Namna ya kukuza mahusiano kwa maendeleo ya muda mrefu
Na hii sio kwa watu fulani pekee.
Hii ni kwa kila mtu anayeamua kuacha kuwa mtazamaji na kutaka kula keki hii.
Nikwambie tu,
"Copywriting and Content Creation University"
Ni program iliyoandaliwa kimfumo wa kujifunza na kijenga uzoefu - kuubadili uzoefu na matokeo yake kuwa bidhaa zinazoweza kusaidia maelfu ku-improve maisha yao.
Kitu kizuri ni kwamba program hii haikulazimishi kujifunza mambo mapya.
Hapana.
Ujuzi wako, maarifa yako, taarifa zako hizo hizo ndizo tunazichakata na kukuonesha namna ya:
Kuzifundisha kwa watu
2. Kuzithibitisha kuwa mifumo yenye matokeo na
3. Kuzibadili kuwa bidhaa za taarifa zinazojiuza zenyewe
Ndio maana program hii ni hazina itakayokusaidia kutumia akili yako kuzalisha pesa.
Hii ni aina ya biashara mpya sokoni.
Ndio maana pogram hii tumeiita:
"Copywriting and Content Creation University"
Maana yake ni shule ya kubadili AKILI yako kuwa PESA kupitia ushawishi.
Kama mtu atakuuliza program hii kwa kifupi kabisa mwambie.
Ni mfumo uliothibitiswa kubadili AKILI yako kuwa PESA.
Pengine unaweza kujiuliza nini tofauti ya program hii na kozi na vitabu vingine.
Vyema,
Tofauti ipo bayana.
Mimi na team yangu hatuchukui hata senti yako ili kukufundisha mambo ambayo hutaenda kuyatumia hata kidogo kwenye maisha yako.
Tunaenda kukufundisha namna ya kutumia kile ulichonacho (maarifa na ujuzi) wako kubadili maisha yako na ya uwapendao.
Unaweza kusema oh,
Millambo mbona mimi sina kitu ninachojua...!
Au mbona mimi sio mtaalam wa kitu chochote?
Ni hofu tu.
Unavyo vingi sana.
Kila mwandamu anajua mambo mengi tofauti na watu wengine.
Na hicho ulicho nacho ndicho pesa yenyewe (maarifa, ujuzi, kipaji, hobby n.k).
Utakachokipata hapa ni ujuzi wa kubadili huo ujuzi au maarifa kuwa pesa.
Utaenda kujenga ujuzi ambao ni hatari kwa kizazi hiki.
Ujuzi ambao ni wa lazima kama una malengo ya kupata uhuru wa kifedha.
Uwe unataka kuuza bidhaa zako mtandaoni.
Uwe unataka kufanya freelancing.
Uwe unataka kuendisha agency yako au
Uwe unataka kuingia kwenye network marketing.
Nikisema Kubadili Maarifa na Ujuzi kuwa Pesa - Maana yake nini?
Kufundsha mapishi na kuingiza kipato
Kufundisha sheria na kuingiza kipato
Kufundisha mambo ya fedha na kuingiza kipato
Kufundisha uwekezaji na kuingiza kipato
Kufundisha mahusiano na kuingiza kipato
Kufundisha kuimba na kuingiza kipato
Kufundisha kurusha matangazo na kuingiza kipato
Kufundisha kukata vitambi na kuingiza kipato
Kufundisha kuondoa ugumba na kuingiza kipato
Kufundisha nguvu za kiume na kuingiza kipato
Kufundisha real estate na kuingiza kipato
Kufundisha crypo currency na kuingiza kipato
Kufundisha Forex na kuingiza kipato
Kufundisha web design na kuingiza kipato
Kufundisha uandishi na kuingiza kipato
Kufundisha content marketing na kuingiza kipato
Kufundisha mavazi na kuingiza kipato
Kufundisha mapambo na kuingiza kipato
Kufundisha urembo na kuingiza kipato
Kufundisha mambo ya ndoa na kuingiza kipato
Ili uweze kufanikiwa kuingiza kipato kupitia moja ya ujuzi hapo juu:
Unahitaji uwezo mzuri wa:
Kuandika (copywriting)
Uzalishaji maudhui
Uundaji bidhaa
Ushawishi
Ubunifu
Masoko
Kuuza
Zamani watu walihitaji kwenda shule kusomea haya mambo.
Sasa hivi wako watu wengi mtandaoni wako qualified kukufundisha na kubobea tena kwa usaidizi wa karibu.
Unaweza kwenda chuo ukajifunza kwa mwaka au hata na zaidi lakini bado ukatoka hujui kitu.
Lakini unaweza kujifunza kwa jamaa ambaye hata vyeti hana ila ukatoka na ujuzi wa maana.
Ukatoka umeiva na ujuzi moja kwa moja.
NARUDIA TENA KUSEMA!
Sisi hatukufundishi kwa miaka 4 ulipe mamilioni halafu kisha uanze kutafuta kazi.
LA HASHA...
Sisi tunakufundisha kuchukua JINSI ya kutumia Ujuzi, Kipaji, Maarifa au Passion yako na kutengeneza BIDHAA ZA TAARIFA zinazogombaniwa sokoni.
Kinachokutenga na hizi pesa mpaka sasa ni kutokuanza kuchukua hatua tu,
Lakini kila kitu kipo mkononi mwako...
Kuhusu Mwalimu,
Je, ni nani huyu anayesema haya yote?
Ni jamaa mmoja Mhadhiri pale chuo kikuu cha Dar es Saalam.
Kazi yangu kubwa ni kufundisha vijana na kuwaonesha njia mpya ya kubadili maisha.
Kufikia hapa nimejifunza mengi.
Nilianza kwa kumiliki start-up ya eHuduma kuanzia 2016.
Hii ilikuwa ni ecommerce ya kuwakutanisha walaji na watoa huduma.
Iliishia njiani, niliachana nayo mnamo mwaka 2020.
Lakini ilinifunza mengi.
Niliacha sababu kubwa ikiwa ni kutokuwa na passion na mvuto wa biashara hiyo.
Nikatoka nikaanza kufanya freelancing, hapo 2020.
Nimefanya freelancing kwa mafanikio makubwa.
Hii niliacha mapema,
Nilianza nikiwa masomoni Kenya na kuicha mara moja nilivyorejea nchini 2021.
Kwanini?
Freelance ni model inayoweza kukulipa vyema.
Shida ni kubadili muda wako kwa pesa.
Yaani ili uweze kuingiza kipato lazima ufanye kazi.
Hii ilinilazimisha kuwa macho.
Kufanya kazi usiku na mchana.
Kulazimika kuacha ratiba za muhimu ili kuhakikisha wateja wanapata kazi nzuri.
Yote haya yalinishinda.
Ukumbuke muda huu bado nafanya kazi yangu UDSM.
Huku ni kutafuta kuongeza chanzo cha mapato.
Chanzo cha mapato ambacho kitaniwezesha kuwa nafanya mambo yangu mengine huku kukiwa na mwendelezo wa pesa inayoingia bila mimi kuwepo sehemu ya huduma.
Hili ndilo lilikuwa lengo langu kubwa.
Kujenga biashara ya kuzalisha nikiwa nimelala.
Lakini kufikia huko haikuwa rahisi.
Watu huwa hawasemi walifanikiwaje.
Ni wachache sana wanaweza kukufundisha namna walivyotajirika.
Ilinichukua muda mrefu.
Kusoma vitabu.
Kuchukua kozi.
Kulipia coaching na mentorship za mbei mbaya.
Siku moja, Disemba, mwaka 2020, nikiwa zangu YouTube nakula maarifa nilikutana na video ya Alex Hormozi "Unlock High Income Skills Without a Degree" inayoleza njia sahihi ya kukuza ujuzi, kujenga brand na kuongeza kipato bila kuvuja jasho.

Huyu jamaa ni wa kipekee sana.
Ni miongoni mwa matajiri wengi watokanao na intaneti.
Anaamini huhitaji elimu, mtaji, uzoefu wala utaalamu kuingiza kipato kupitia intaneti.
Hapo ndipo ilikuwa mwanzo wa kujifunza siri zilizobadili maisha yangu.
Nikaingia rasmi kwenye biashara ya utaalamu na kuuza taarifa.
Baada ya mafanikio ya haraka,
Zimenisaidia kufungua kampuni yangu ya Elimu ‘Swahili Quest’.
Ambayo kazi yake kubwa ni kusaidia watu kama wewe kuweza kutumia fursa zako vizuri.
- Humu nawasaidia watu kuishi kwa afya,
- Humu nafanya content marketing,
- Nafanya personal development,
- Nafanya personal branding,
- Nafanya brand storytelling,
- Nafanya content creation,
- Nafanya copywriting
Yote haya ni ku-support biashara yangu ya elimu.
Yaani yote haya siui hata bidhaa moja ya kushikika.
Zote ni bidhaa za taarifa tu (Kozi, Ebooks, Coaching, Mentorship, miongozo n.k).
NA...
Sasa ni muda wa kusaidia wengine kujenga ndoto zao.
Kwanini nataka kila mtu ajue SIRI hizi za kuingiza pesa mfululu?
Haijawahi kuwa kwa sababu ya kutengeneza pesa.
Ni kwa sababu ya shauku yangu kubwa kuelimisha na kusaida jamii kujifunza mambo yaliyofichwa.
Kuanzia afya, mindset, mpaka maendeleo binafsi.
Malengo yangu ni kusaidia vijana kuishi kikamilifu maisha ya ndoto zao bila woga,
Na kuingiza kipato kupitia vitu wapendavyo.
Aina hii ya biashara ndio imenifanikishia ndoto yangu.
Sema watu hawatakwambia ukweli,
Bado wanaficha.
Watu wanalia gizani.
Ukijua na kuwa serious kwa miezi 6 tu unafanikiwa kubadili maisha yako.
Sasa, passion yangu ni kuwaelimisha vijana ili kuingiza kipato kupitia biashara ya kuuza taarifa.
Hicho hiki ndicho kinanikutanisha na wewe muda huu.
Ili nawe uwe mmoja ya watu ambao watajifunza kutoka kwangu na kwenda kubadili maisha ya watu wengine wengi.

Hi…
“Mimi ni Millambo” a.k.a #JeshiLaMtuMmoja,
Ni brand strategist na mhadhiri wa Chuo kikuu cha Dar es Saalaam.
Nawasaidia wajasiliamali wakubwa na wadogo, influencers na content creators kuchunguza na kutathimini personal brand zao na kufanya maamuzi ya lazima ili kukua kimkakati na kuingiza kipato kupitia hadhira yao.
Kazi yangu kubwa ni kukupa mifumo endelevu ya uzalishaji na biashara ili uweze kufanikiwa kuwa na biashara kwenye kile unachofanya.
Kazi yangu ni kuhakikisha unakuwa na mifumo sahihi ya:
Kuzalisha maudhui bila kikomo,
Kukua kimkakati kwenye mitandao ya kijamii
Kutumia formula zilizothibitishwa kuandaa bidhaa za taarifa kama vitabu, kozi, coaching program na subscription,
Kujenga nidhamu ya kufanya kazi bila kujilazimisha,
Kujenga lifestyle na mifumo sahihi ya maisha
Nimefanikiwa kujenga ufuasi mkubwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii: Twitter ‘X’, Telegram, YouTube, TikTok, Instagram na Facebook.
Huku kote ni kuhakikisha brand inakuwa kila siku ili kupanua wigo wa watu ambao ninaweza kuwasaidia.
Kwa upande mwingine mimi ni mhadhiri wa UDSM ambaye nimeamua kufanya ninachopenda zaidi kufundisha jamii kwa kupitia mitandao ya kijamii na kuweza kuwasiadia wengi kuujua ukweli na kubadili maisha yao.
Kufundisha chuoni pekee ilikuwa haitoshi, dhamira yangu imekuwa kugusa maisha ya watu wengi kwa ukaribu zaidi.
Na kupitia mitandao hii yote inafanikiwa.
Wewe pia unaweza kufanya kama mimi.
SIRI hizi nimezitumia mwenyewe, zimeleta matokeo makubwa, na wanafunzi wangu wametumia kwa mafanikio makubwa.
Nimefanikiwa kuandaa na kuuza:
Vitabu na kozi mbalimbali kwenye mindset, afya na maarifa-mali kwa mafanikio makubwa.
Coaching na mentorship programs za maarifa-mali, afya na lifestyle design.
Nimewasaidia vijana wengi wasioweza kunilipa kuingia kwenye content creation, kujenga brand zao na kuanza kumonetise.
Nimefanikiwa kujenga jamii ya watu wamoja wanaoamini kwenye kusaka maarifa mapya ili kuweza kubadili maisha.
Nimefanikiwa kuwasaidia wajasiliamali, influencers na content creators kuweka mifumo sahihi ya kukuzia biashara zao mtandaoni.
Nimesaidia vijana wengi kuua addiction na kuanza kuishi maisha ya ndoto zao.
Baadhi ya Kazi zangu zinazofanya vizuri sokoni kwa sasa...
Najua sasa unajiuliza,
Nikijiunga nitapata nini?
Ni full package…
Hizi ni baadhi ya faida utapa kujifunza ndani ya mwezi mmoja:
Kujenga brand yako yenye mamlaka na mvuto na wafuasi wako watamani kuwa kama wewe.
Kujua hadhira yako kiundani na aina ya maudhui yatakayokusaidia kukua kwa kasi.
Kujenga list (hadhira binafsi – Email au Telegram) kwa ajili ya kuuza bidhaa zako.
Kuwa na mfumo endelevu wa kuzalisha maudhui orijino yenye kugusa maisha ya watu kwa zaidi ya mwaka mzima.
Nguvu na uwezo mkubwa wa kutoka kwenye idea na kuanza kujenga biashara yako ya mtandao.
Namna bora ya kutengeneza maudhui yanayofanya kazi vyema na namna bora ya kuyatumia kwenye mitandao mingine.
Kujua A-Z biashara ya utaalamu (Expert Business). Wapi pa kuanzia mpaka kufanikiwa.
Kujifunza jinsi ya kuunda bidhaa za taarifa zinazouzika zaidi.
Kujifunza namna bora ya kuuza, kuandika copy za kuuzia, na kuunda funnel za kunasa wateja kama sumaku.
Kujifunza namna bora ya kupangilia lifestyle yako ili kuweza kuandika, kuzalisha maudhui, kuunda na kuuza bidhaa n.k.
Kwa ufupi kabisa utajifunza kila kitu kuanzia, kujenga brand, kukuza followers, kubadili maarifa yako kuwa bidhaa na kuwa mtu wa mfano ambaye wafuasi wako watakuwa wanatamani kuwa kama wewe.
Mpaka sasa una kila kitu unachohitaji.
Unachokosa ni mtu wa kukushika mkono na kukuonesha njia ya kupita kwa kufuata mifumo rasimi.
Je, Nitawezaje Kujifunza Uliyoyataja hapo juu?
Utaweza kujifunza kwa kufocus kwenye Maeneo makubwa 4.
Utapata Access ya Kozi 4 Ndani ya Program Moja.
Copywriting
Personal Branding
Content Creation
Biashara ya kuuza utaalamu
Na Hizi ni Nusu ya SIRI Utakazoenda Kujifunza...
>> Jinsi ya kujenga mindset ya mafanikio na kuuaga kabisa umasikini.
Hakuna jambo utafanikisha kwenye dunia hii bila kuwa na mindset imara.
Somo letu la kwanza kitakuwa kukujenga na mindset ya ushindi.
>> Jinsi ya kubadili Ujuzi na Maarifa kuwa bidhaa za taarifa zinazogombaniwa sokoni.
Intaneti inakupa uwezo kuingiza kipato kupitia maarifa na ujuzi wako.
>> Jinsi ya kujua maudhui ya kuandika ili watu waweke notifications wasipitwe.
Huu ni mwamvuli wa maudhui ambayo utakusaidia kujua mada zako kiundani.
>> Formula za kukamata na kushikilia Attention ambazo zimefichwa usizijue.
Ili kuwa na nguvu kwenye maudhui unahitaji kuhodhi attention.
>> Jinsi ya kuandika Vichwa vya habari ambavyo mtu hawezi kupita bila kusoma.
Vichwa vya habari na chambo ni sehemu muhimu ya maudhui kwenda viral.
>> Jinsi ya kuandaa maudhui ya mwaka mzima na kubaki kupiga hela tu.
Hutakuwa tena mtu wa kuishiwa maudhui na kukaa kutafakari ufanye nini ili kuwa na ideas mpya.
>> Jinsi ya kuandaa maudhui na kuyagawa ili yatumike mitandao yote.
Formula maalum ya kukusaidia kutengenza maudhui, kuyagawa vipande vipande na kuyatatumia kwenye mitandao mingine. Mfano: Tweet – Thread – YouTube- TikTok - IG.
>> Siri za uandishi ambazo zitawafanya watu wakuombe kuwauzia.
Sio kila maudhui yanauza. Kuna maudhui ni kama sumaku mtupu.
>> Maeneo 20 Wanaigeria na Wakenya wanaingiza mamilioni na hawataki ujue.
Yako machimbo mengi ambao yanakusubiria urushe karata yako kwa upande wa Bongo.
Mwingine atauliza,
Kwanini umeamua kuleta program hii kwa bei ndogo hivi, na sio kozi?
Kozi ina vitu vichache tofauti na programu hii.
Kwenye programu hii unapata vitu vya zaidi ya kozi 4 ndani ya coaching program moja.
Tena nikikuongoza mimi mwenyewe moja kwa moja.
Muda wa kukusaidia ana kwa ana unakuwa mwingi zaidi na kukusaidia kukua chini yangu.
Ukumbuke kuwa baada ya programu ya mwezi wa kwanza,
Pengine unajiuliza inawezekanaje kubadili upepo kabisa kwa program hii:
Ona hawa wanasemaji kuhusu program hii…
Biashara ya Utaalamu
Lifestyle Design
Afya
Kuna mamia ya shuhuda kama hizi na siwezi kuweka zote hapa kwa sababu sitaki kukupotezea muda wako...
Na Leo ni Siku ya Bahati sana kwa Upande wako….
Unajua ni Kwanini?....
Baada ya Kuzitumia mbinu hizi na kupata matokeo,
Na kuzijaribu kwa wajasiliamali, creators na influencers wengi,
Sasa ni muda mwafaka kila mwenye uchu wa kubadili maisha yake,
Akapate siraha muhimu za kujibrand na kuuza maneno.
Huna sababu ya kuupitia mchakato wa mateso na kujitafuta kwenye mitandao ya kijamii.
Mimi nimesota, nikajifunza kwa gharama kubwa.
Sasa,
Nimekuandalia "Copywriting and Content Creation Univetsity"
Program maalum ya miezi 2 ambayo inaenda kukupa kila aina ya ufunguo na siri unazohitaji ili kufanikiwa kwenye mitandao ya kijamii.
Imagine kufundishwa kwa vitendo kwa mwezi 1 + mwezi 1 wa Mentorship dah…!
Mimi nimelipa gharama kubwa, ili wewe utumie uzoefu wangu kukwepa msoto na kupoteza muda na fedha nyingi.
Siku ya leo wewe unaenda kupata nafasi MOJA kati ya 20 za Copywriring and Content Creation University kwa OFA ya kutupa.
Ukumbuke Kwenye Program huwa ninakuwa na wanafunzi wachache tu ili kuhakikisha ninapata muda mwingi wa kuwasaidia kwa ukaribu zaidi.
Watu wanaotaka kujiunga na program hii ni 200+
Ila wewe leo una bahati kwa sababu...
Hii hapa ni kwa ajili yako:
"Copywriting and Content Creation University"

Ya kwanza Tanzania,
Hii ni program iliyosheheni kila mbinu za kivita kuhakikisha hakuna mtu anabaki nyuma.
Kulingana na uzito wa program hii na uchache wa wanafunzi – Thamani yake ni Tshs. 550,000/-
Hapa nilikuwa na option 2.
1. Kuchukua wanafunzi 10 na walipe 400,000/=
2. Kuchukua wanafunzi 20 walipe 200,000=
Lakini kwa sababu ya hali ya uchumi na mapenzi yangu kusaidia vijana, nikaamau kuchukua option ya 2.
Ili kila mwenye nia apate nafasi.
Siku ya leo utaenda kuipata nafasi MOJA ya program hii kwa kulipia: 200,000/= pekee.
200,000=
Yaani Badala ya 550,000/- Unalipia 200,000/- tu.
Imagine pesa ambayo haitoshi hata kulipia certificate ya mchongo mtaani kwenu, lakini hapa inakupa ufunguo huu muhimu.
Kujifunza kwa mwezi 1 huu ukiwa chini ya mentor “Mimi Mwenyewe”
Nini unataka tena…
Kupata Kwa Bei hii Zimebakia...
Na Sio Hivyo Tu…
Kama utalipia program hii ndani ya Saa 24 Utapata
BONASI zenye Thamani ys Tshs. 427,000 BURE Kabisa.
Nazo ni kama zifuatazo:
BONASI #1: Utapata Bure Mentership Program kwa Mwezi Mzima.
Mara utakapomaliza mwezi wa 1 kwanza wa program utaanza mwezi wa 2 wa mentorship BURE kabisa.
Kwa kawaida bei yake ni 240,000/= kwa mwezi. Wewe unaipata bure.
Yaani ukimaliza mwezi wa kujifunza unaanza kufanya kwa vitendo huku nikikusimamia na kukagua maendeleo yako huku nikirekebisha pale hapako sawa.
Kumbuka moja na shida kubwa wengi wanapata ni kukosa mentors.
Wewe unajipatia mentor kirahisi kabisa.
Kama haitoshi kuna Ebook 3 zipo jikoni zikipikwa. Hizi zote utazipata zikikamilika.
Lakini kwa sababu unaingia kwenye coaching program utapata kujifunza content na siri zote zilizomo kwenye Ebook hizo.
Zitakapokamilika na kutoka, basi wewe utakuwa wa kwanza kuzipata.
Moja kati ya hizo ni ghali zaidi. Hii tayari iko kwenye hatua za mwisho. Muda wowote inatoka.
BONASI #2:WEWE NI MGODI: Sayansi ya Kujibrand Kuwa Mashine Inayozalisha Pesa.
Kwenye Ebook hii nimefundisha kwa kina namna ya kujenga biashara ya utaalamu ama expert business.
Utajifunza jinsi ya kufanya A-Z. Gharama yake ni Tshs. 50,000/=
BONASI #3: Sanaa Ya Kubadili Maandishi Kuwa Pesa: Ushawishi, Kujenga Chapa na Kukuza Biashara.
Ebook hii imebeba siri zote za ushawishi na uandishi.
Unataka kujua namna ya kuandika ili kujenga chapa na kukuza biashara. Hii ndio Ebook pekee itakayokufikisha huko.
Gharama yake ni Tshs. 45,000/=
BONASI #4: Sayansi Ya Kubadili Maandishi Kuwa Pesa: Content Machinery.
Ebook hii ndio ghali zaidi kuwahi kuandikwa Tanzania. Hii ni full mifumo - Bei yake ni 57,000/=.
Haipungui hata senti. Kwanza haiuzwi. Malengo yake ni kutumika na watu wa coaching program pekee.
Mtu akiitaka basi ataipata kwa bei hiyo. Tofauti na hapo ajiunge na coaching program.
BONASI #5: Mindset Sahihi ya Mafanikio - Hii ni Masterclass itakayokuandaa kuwa na ukuaji wa kifikra ii uweze kuwa tayari kupigania kesho yako na zaidi kujenga nidhamu ya maisha. Bei yake ni 35,000/=
Unapata Bonasi za Tshs. 427,000/-
Coaching ya 550,000/- Unaipata kwa 200,000/-
Hivyo Unalipa
Tshs. 200,000 Tu Badala ya 977,000/-
Punguzo la Mwaka la Tshs. 777,000/-
Ikumbukwe mpaka sasa kuna nafasi 15 tu ya kujaza kwenye zile 20.
Wakitimia 20 hatuongezi hata 1.
Hii ni kuhakikisha nawasaidia vyema wale walio kwenye programu. Na hili ndilo limenipa uwezo wa kumudu kuwabeba watu wachache na kuwavusha kwenye safari yao ya kukua mtandaoni na kukuza brand zao.
Kama Haitoshi,
NimejItolea kukupa INTERNET FREE kwa Miezi 2 yote, hutasumbuka na bando tena.
Hivi unajua bando ni kikwazo kwa vijana wengi wanaotaka kuingia kwenye content creation na online hustles. Sasa hapa kwetu, ni full kujiachia.
Bila kusahau MAHALI pa kukaa, kujifunza na kufanyia mazoezi ukiwa na wenzako.
Ofa Hii Inaisha Ndani Ya...
Kubwa kuliko ni kwamba baada ya Kujiunga na Program hii…
Ukichukua programu hii, ndani ya mwezi mmoja utabadili kabisa upepo wako kwenye mitandao ya kijamii.
Na watu watakwambia vile una nguvu kupitia maandishi na content zako.
Usipoona mabadiliko yoyote ndani ya siku 40,
Njoo dai pesa yako.
Na mimi nitakurudishia bila maswali yoyote.
Jambo la msingi ni kuwa umetumia angalalu 50% ya maarifa haya.
Maana ukweli ni kwamba, unaweza kumpa mwanajeshi siraha namba moja duniani kwa ubora lakini kama hatajifunza kuitumia vyema vitani mtaishia kupigwa tu.
Hivyo, jambo la muhimu ni kujifunza kila kitu na kukiweka kwenye mazoezi mpaka kingie kwenye mfumo.
Tofauti na hapo hakuna nitakachoweza kukusaidia.
Ni jukumu lako kujifunza na kutekeleza. Maarifa bila mazoezi ni sawa na kupiga punyeto akili.
Hivyo, lazima utekeleze kile umenuia ili kubadili maisha.
Chukua hatua sasa. Kujiunga na Copywriting and Content Creation University ili kubadili upepo wa maisha yako.
Muda ndio huu.

Ofa Hii Inaisha Ndani Ya...
Kumbuka mpaka sasa zimebaki nafasi 15 tu.
Na mtu wa kwanza kulipia ndio anapatiwa nafasi.
First come – First serve.
Hivyo kama ulikuwa unaisubiri nafasi hii usilaze damu tukaja kulaumiana baadae.
Na bila shaka unakumbuka kale ka msemo kwetu,
“If you think education is expensive, try ignorance...
Ikumbuke program hii iko kwenye punguzo la OFA.
Ifikapo Mwezi August kwenye intake ya 2 itarudi kwenye bei yake halisi ya 550,000/- na vitabu havitakuwa sehemu ya package hii.
Hivyo kuwahi kwako kutakupa manufaa zaidi na kamwe hutajuta.
Usipoteze fursa hii adhimu ya kujifunza,
Hii ni ya kwanza Tanzania - Kupata nafasi ya kujifunza:
Kozi 4 Ndani ya Program Moja.
Copywriting – Ujuzi wa kuuza kupitia maandishi
Personal Branding – Sanaa ya kujenga chapa binafsi inayokubalika
Content Creation – Ujuzi wa kuandaa maudhui ili kuvutia hadhira
Biashara ya Utalamu – Biashara ya kubadili akili na maarifa kuwa pesa
Jibadili kuwa bidhaa.
Tumia mitandao kuzalisha pesa ukiwa umelala ukifanya unachopenda.
Jiunge leo na uanze safari yako ya kujenga empire yako
Mafunzo yanafanyika wapi na lini?
Mafunzo yatafanyika kwenye ofisi zetu zilizopo Dar es Salaam, Kimara Baruti.
Hata hivyo mafunzo hufanyika pia online kwa njia ya Zoom ama Google Meet,Kwa walio mbali.
Mafunzo ni ya mwezi mmoja. Kila wiki kipindi kimoja cha saa 1:30.
Mafunzo yataanza Tarehe 07 June - 05 August.
Utajifunza kwa vitendo huku ukichanganua mbinu zako ukifananisha na za wengine ili kuwa bora zaidi.
Na baada ya mafunzo unaingia moja kwa moja kwenye Mentorship ya mwezi mwingine bure kabisa.
Mahitaji ya lazima:
Na hawa ni miongoni mwa wanotaka kujiunga na programu hii..








Na Wataalamu Hawa Watakuwepo Kushusha Madini

Amos Nyanda,
Copywriting Guru wa Tanzania.
Ukizungumzia Uandishi na Ushawishi basi huyu ndie mtaalamu wa hizi kazi.
Usipojifunza kuuza kwa Amos utajifunza wapi sasa.

Baraka Mafole,
Guru wa Freelacing, Content Creation na Monetization.
Ukiuliza Tanzania jamaa anaejua namna ya kujiposition mtandaoni na kupiga maokoto, basi hili jina lazima utalisikia.
Ofa Inaisha Ndani Ya...